- Aina za Nyenzo
- Lugha za Nyenzo
-
- English
- French
- German
- Portuguese
- Siswati
- kiswahili
- Hazina ya Kitaasisi
Kuhusu Lugha ya Tovuti
WHDL inaweza kusomwa katika lugha nyingi. Tumia menyu ya kushuka chini ili kuchagua lugha ya kusoma tovuti.
Nimebadilisha lugha yangu, lakini bado ninaona maandishi katika lugha zingine?
Ikiwa maandishi hayajatafsiriwa katika lugha uliyochagua, yataonekana katika lugha iliyoongezwa awali. Daima tunatafuta usaidizi wa kutafsiri nyenzo hizi. Ikiwa unaweza kusaidia, wasiliana nasi!
WHDL - 00014378
Mwongozo huu wa majadaliano wa kundi ndogo, ulioandikwa na Dkt. Jeff Stark, unakusudiwa kuwa rasilimali ya ushirikiano ya kitabu cha David A. Busic – Njia, Kweli na Uzima: Uanafunzi kama Safari ya Neema, na kutumiwa pamoja na video saba zinazomwanganzia David Busic. Kama wewe ni kiongozi wa kundi ndogo au mwalimu wa Shule ya Jumapili unaypepanga kutumia rasilimali hii, kuna njia nyingi ambazo unaweza kupta mengi kupitia shusha hili kwa muktadha wako, na vifaa viko vyepesi kukidhi mahitaji yako.
Mwongozo huu wa majadiliano unaweza pia kuambatana na kutumiwa na mfululizo wa ujumbe wa sehemu sita ya Njia, Kweli na Uzima ulio katika msingi wa Muhtasari wa mahubiri ambao pia ni sehemu ya rasilimali inayoweza kuchukuliwa kutoka kwa mtandao. Kitabu cha Busic kina sura sita, utangulizi, na maneno ya baadaye. Mwongozo huu wa majadiliano unafuata sura kuu sita za kitabu kukusaidia kuongoza kikundi chako kwa njia thabiti na kujifunza kwa maana juu ya ufuasi na neema.
Mwongozo huu wa majadiliano umebadilishwa kwa ajili ya muktadha wa Afrika na timu ya maendeleo ya Huduma ya Shule ya Jumapili na Uanafunzi ya Kimataifa ili kusaidia kufanya majadiliano yawe na muktadha wa utamaduni wa Kiafrika. Hadithi zote zilizoongezwa zilisaidia kuunda ufahamu wa Safari ya Neema kama uzoefu wa watu wa Mungu katika tamaduni mbalimbali.
You have permission to view this content and print a copy for personal use only. Permission to print multiple quantities of this resource is expressly forbidden.Contact the publisher for any translation or publishing use, which includes digital use in any and all media.
The resource and the entire site will translate to this language.
The resource and the entire site will translate to this language.
The resource and the entire site will translate to this language.